Kongomano la wajibu wa wake za marais kuinua wanawake ambalo limeandlaiwa na Taasis ya George Bush ambalo litafanyika leo na kesho limeanza rasmi jijin Dar es Salaam..
Wake za Marais ambao wanashiriki kwenye Kongomano hilo ni Mke wa Bush,Lura Bush(MAREKANI),Cherie Blair(UINGEREZA),Michelle Obama(MAREKANI),Salma Kikwete(TANZANIA),Chantal Campaore(BURKINA FASO),Roman Tsefaye(ETHIOPIA),Maria da Luz Dai Guebuza(MSUMBIJI),Penehofipo Pohamba(NAMIBIA),Sia Nyama Koroma(Siera Lion),Janet Museveni(UGANDA) NA Cristine Kaseba(ZAMBIA).
Maofisa wa serikali,wa mashirika binafsi,NGOs na wasomi mbalimbali watkuwa na wake za marais kwa pamoja kujadili mambo muhimu kwa manufaa ya mwanamke.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni