Abidal mwenye umri wa miaka 33 alitumika Barcelona kwa miaka 6 na kucheza michezo 125 kwa miamba hiyo ya soka nchini hispania.
Abidal alimshukuru rais wa Monaco kwa kumamini hasa kipindi hiki ambacho hali yake ya kimwili ilikuwa mashakani na hakutumaini kama angekumbukwa.
Abidal anaunga na wachezaji sita waliosajiliwa eremy Toulalan, Radamel Falcao, James Rodriguez, Joao Moutinho and Ricardo Carvalho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni