Jumatatu, 1 Julai 2013

ANGALIA PICHA 10 ZA BRAZILI WAKICHUKUA KOMBE HUKU NJE WATU WAKIANDAMANA

Brazili iliwauwa Hispania kwa jumla ya mabao 3-0.magoli ya Fred na Neymar.Lakini pia waandamanaji wakiwa nje ya uwanjawa liendelea na harakati zao za kupinga utumiaji wafedha nyingi kwa ajili ya kujenga viwanja wakati wao ni maskini.
Hizi ni picha ambazo zinajielezea siku hiyo ya fainali Maracana Rio de Janeiro
FRED 

MASHABIKI WAKIWA NA FURAHA

HULK AKICHUANA NA SERGIO RAMOS


NEYMAR AKIONYESHA KOMBE



WAANDAMANAJI NJE YA UWANJA

DADA ALIYEATHIRIWA NA GESI YA MACHOZI KATIKA HARAKATI ZA KUZUIA WAANDAMANAJI



DANTE NA ALVES WAKIFURAHI



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni