Msanii nguli wa rnb nchini marekani ambaye alianza kung'ara akiwa katika kundi la N sync Justin Timberlake ameongoza katika mauzo ya albamu kwa albamu zote zilizotolewa mwaka huu.
Timberlake ameuza nakala 2,000,000za ALBAMU YA 20\20 hivyo kumuwezesha kuwa juu ya wenzake huku wimbo wake wa mirror ukuiendelea kufanya vizuri na kumrejesha tena kwa kasi.
Bruno Mars anafuataia kwa kuuza nakala 963,000
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni