Jumatatu, 15 Julai 2013

RAIS WA NAPOLI AICHOKOA PSG.......KAULI YAKE YACHOCHEA MOTO

Rais wa klabu ya Napoli amejaribu kuitikisa harakati za klabu ya PSG za kumnyaka mshambuliaji wa Napoli Edison Cavan kwa kusema Zlatan Ibramovich ataiama kalbu hiyo endapo Cavani atasajiliwa.

Cavan ambaye pia ni mchezaji amabaye yupo kwenye kiwango cha juu anawaniwa na klabu nyingi za ulaya ila PSG ndio inaonekana kuwa karibu zaid kumchukua.

Kwa mfumo wa PSG Ibramovich ni mchezaji ambaye timu hucheza kwa kumzunguka yeye pia Cavan naye ni mchezaji wa aina hiyo.

Hii itasababisha hali ya sintofahamu katika vyumbmba vya kubadilishia nguo kitu kinachofanya Ibramovich kufikiriwa kutokuwa na amani kama Cavan akijiunga na klabu hiyo.

Kauli Aurelio De Laurintes pamoja na kuwa ni maoni ya mtu binafsi inaonekana kuwa na nguvu kwa kipindi hiki.Ingawa klabu ya PSG inaweza kuwa na malengo mazuri juu ya usajili huyo.


'Ibrahimovic won't play with Cavani'
ZLATAN IBRAMOVICH
EDSON CAVAN

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni