Kocha mpya a Manchester united David Moyes ameanza vibaya kuiongoza klabu hiyo baada ya kupokea kichapo kutoka Singha all stars Thailand kwa na kuazna vibaya ziara yao.
Teeratep Winthai alifunga bao la pekee katika dakika ya 50 katika uwanja wa Rajamangala stadium Bangkok.
Hata hivyo Moyes akushitushwa na matokeo hayo alisema hii ni michezo ya maandalizi.
Adnun Jaznuj na Wiflfed Zaha walipewa nafasi ya kucheza kwenye mechi hiyo huku mshambuliaji Wayn Rooney akirdishwa Uingereza kwa ajili ya matibabu baada ya kuumia.
Moyes alisema ni kwa kawaida ni vizuri ukimpatia nafasi mchezaji chipukizi akatumia vizuri.
Van Persie na David De gea watajiunga na timu hiyo amabao inaelekea sydney.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni