Alhamisi, 4 Julai 2013

BAADA YA MAPINDUZI YA KIJESHI HUYU JAJI MKUU KUAPISHWA KUIONGOZA MISRI

Baada mkuu wa Jeshi nchin Misri Jeneral Abdul Fatah al-sis kutangaza kupitia televisheni kuwa Jeshi limepindua serikali ya rais Mohamed Morsi kutoka chama cha Muslim Brotherhood  sasa jaji wa
Mahakama kuu ya kikataiba Adli Mansour kuapishwa kuiongoza Misri.

Mohammed Morsi alikuwa rais aliyechaguliwa na watu lakini alishindwa kutimiza mahitaji yao na kuelemea kwenye sera za dini ya kiislamu na kushindwa kutatua matatizo ya kiuchumi.

Wananchi wamejaa mtaani kushangilia mapinduzi ya kijeshi.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni