Jumanne, 9 Julai 2013

FILAMU YA ROONEY YAENDELEA ...LEO FREDNAAND AENDELEZA.....

Mchezaji wa Manchester United Rio Frednand amemuonya mshambuliaji wa klabu hiyo juu ya suala lake la kutaka kuhama klabu hiyo.

Frednand alimkumbusha kuwa mchezaji mwenzake Cristiano Ronaldo alivyohama hakuweza kupata mataji kama aliyopata akiwa hapa.

Frednanda alisema 'Hakuna mahali pazuri pa kwenda zaidi ya hapa'


Frednand alisema kuwa timu gani iliyoshinda makombe mengi kama yao,akasema anajua kuwa mtu anaweza kusema Barcelona.Akaongeza kuwa hakuna kitu cha furaha kama kuchukua kombe ukiwa nchini kwako.

Frednand alisema yeye hatachezea klabu yoyote zaidi ya Manchester united katika nchi ya Uingereza.Akaongeza kuwa hataweza kujisikia vizuri kucheza mpinzani na Manchester united.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni