Jumatano, 10 Julai 2013

AGNES MASOGANGE NA MELISA EDWARD AKAMATWA NA MADAWA YENYE THAMANI YA BILION 6.8.SOUTH AFRIKA

MASOGANGE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA YENYE THAMANI YA SHILINGI BILLION 6.8

MWIGIZAJI NA VIDEO QUEEN WA TANZANIA AGNESS MASOGANGE NA MELISA EDWARD WAMETAMBULIWA KUWA WAMESHIKIRIWA AFRIKA KUSINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA ZENYE THAMANI YA SHILING BILLION 6.8 WAKITOKEA TANZANIA.

Kamanda wa Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Geofrey Nzoa, alithibitisha kuamatwa kwao


Alisema Jeshi la Polisi Nchini kwa upande wake linaendelea kufanya uchunguzi kubaini kama dawa hizo walitoka nazo wapi na pia linawasaka watu ambao watakuwa ndiyo wamiliki wa dawa hizo.

Wiki iliyopita kulikuwa na taarifa kukamzaatwa kwa dawa za kulevya aina ya Crystal Methamphetamine zenye thamani hiyo nchini Afrika Kusini wakati zikisafirishwa kutoka Tanzania.

Taarifa hizo zilionyesha kuwa wanawake wawili walikamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Oriver Tambo uliopo eneo la Kempton Park siku ya Ijumaa wiki iliyopita wakitokea Tanzania.

HUU NI MFULULIZO WA MATUKIO YA WATANZANIA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA.

PICHA YAKE YA MWISHO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni