Uchaguzi huo ambao ulikuwa kwenye hali tete wakati wa kampeni zake ambapo baadhi ya watu walipoteza maisha katika mashamulio ya bomu ambayo yapo njia panda nani alishiriki kufanya.
Uchaguzi ulisogezwa mbele baada ya machafuko mengine wakati wa mazishi
Uchauzi huo uliokuwa na hamasa kubwa ullishihidia cham cha Demokrasia na Maendleo Chadema kikiongoza katika vito 136 katika kata zote nne.
KURA HIZO ZILIZOWAPA CHADEMA

MATOKEO HAYA HAPA
THEMI
CHADEMA KURA 678 KALOLENI
CCM 326 CHADEMA 1019
CUF 313 CCM 389
CUF 169
KIMANDULU ELERAI
CHADEMA 2665 CHADEMA 1715
CCM 1169 CCM 1239
CUF 213
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni