Jumapili, 14 Julai 2013

SUAREZ HAITAMANI LIVERPOOL KABISA

Luis Suarez: Still looking for a way out of Anfield


Mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay ambaye ankipiga katika klabu ya Liverpool ameeka wazi kuwa haitamani timu ya Liverpool na sasa anatamani kucheza timu nyingine itakayotimiza ndoto zake.

Klabu za Uingereza Chelsea na Arsenal zimeonyesha ni kubwa ya kumtwaa lakini Real Madrid ina nafasi kubwa hasa kutokana na kauli yake ya kuwa ni vigumu kukataa ofa ya klabu kama Madrid.
 na pia hamu ya suarez kucheza timu itakayompa mafanikio makubwa.

Brendan Rogers amekuwa akiwasiliana nae kila mara ili kumshawishi mshambuliaji huyo lakini mara kadhaa kocha huyo ameonekana kuongea kauli za kukata tamaa hivyo inaonyesha Suarez hatamani kucheza msimu ujao akiwa klabu hiyo.

Pia suala la Patrice Evra na Ivanovic yamekuwa yakimsababishia mchezaji huyo kutopenda nchii ya Uingereza huku akidai vyombo vya habari vinamzungumzia vibaya muda wote huku akiitwa BAD BOY.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni