Ijumaa, 5 Julai 2013

BREAKING NEWS..ROONEY HAUZWIIII...ANABAKIA OLD TRAFFORD

Kocha mpya wa Manchester united ambaye leo amejionesha hadharani kwa waandishi kama kocha rasmi wa Manchester united amesema kuwa Rooney hauzwi.
Moyes alisema kuwa Rooney alikuwa ameomba kuondoka lakini sasa mimi ni kocha mpya na mazungumzo mapya yamefanyika.
Rooney alifanya mazungumzo ya siri na Moyes ambapo inasemekana kuwa ndio yamezaa matunda haya
Moyes alisema tutafanya kazi pamoja,anaonekana kuwa ana furaha kuwepo Manchester.
Alisema kuwa atahakikiksha kuwa Rooney anakuwa katika kiwango kizuri hasa kipindi hiki na kuelekea kombe la dunia kwa faida ya nchi ya Uingereza.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni