Obama hakuwa peke yake aliambatana na George W Bush ambapo waalionyesha heshima kwa wahanga wa tukio hilo la Ugaidi.
Ikumbukwe kuwa watu 11 walipoteza maisha na pia alionana na baadhi ya watu walionususrika kufa.
Obama alieleza pia mpango wa Marekani wa kuhakikisha upatikanaji mzuri wa umeme kusini mwa jangwa la shara kwa kushitikiana na nchi.pamoja na sekta binafsi ambapo zitatolewa dola za kimarekani bilioni 7.
Obama alizitaja Tanzania,Ethiopia,Uganda,Liberia,Kenya,Nigeria,Msumbiji kuwa ndo wahusika wa mpango huo, alipokuwa akizugumza na viongozi wa Biashara.
Pia Obama alizndua mpango wa Kusaidia Afrika Mashariki kwa kujumuisha Kenya,Tanzania,Uganda,Burundi na Rwanda na Mrekani yenyewe.
Wakati huo huo wake zao Michelle Obama na Laura Bush walikuwa kwenye Kongamano la Wanawake.
Pia Obama alionyesha ujuzi wa kusakata Kabumbu
Bush na Obama wakiwa eneo la ubalozini kuwaezni wahanga
Shahada ianwekwa
Hao ndio waliosalimika na bomu la mwaka 1998
Obama akionyesha kipaji chake katika kituo cha kuzalisha umeme




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni