Klabu ya Liverpool yakataa ofa ya paundi milioni 30 kutoka katika klabu ya Arsenal katika jitihada za klabu aya Arsenal kuimarisha kikosi chake.
Suarez amabye yupo matatani katika klabu yake ya Liverpool kutokana na kauli yake kuwa itakuwa ngumu kusema HAPANA kama klabu kama ya Real Madrid ikitoa ofa.
Brendan Rogers alikiri kuwa wao wanatambua kuwa Suarez anataka kuondoka klabuni hapo hivyo uamuzi wowote upo juu yake.
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amlisema amekuwa akivutiwa na kipaji kikubwa cha mshambuliaji Suarez lakini anaona mpago wao uanweza kua mgumu

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni