Jaji mkuu wa Kikatiba
nchi Misri ADLI MANSOUR ameapishwa kuwa rais wa nchi hiyo baada ya Mohammedi
Morsi kupinduliwa na wanajeshi.
Mohammedi Morsi kutoka
cham cha Muslim Brother hood alipinduliwa na wanajeshi kutokana kile
kinachoitwa kujali ajenda ya uislamu kuliko kutatua matatizo ya kiuchumi
Gudo
Westewelle Waziri wa mashauri ya kigeni wa Ujerumani AMEPINGA MAPINDUZI HAYO
WANANCHI WAKIFURAHI
ADLI MANSOUR
MOHAMMEDDI MORSI



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni