Falcao ambaye alikuwa katika vichwa vya habari kwa kuwaniwa na timu kubwa kama Real Madrid,Chelsea,Manchester city lakini saini yake imeangukia ufaransa kwa miamba ya PSG.
Nasser al khellaif Rais wa PSG alikaririwa akisema ni furaha kwa kutangaza kuwamsajili Cavan kwa mkataba wa miaka mitano.
Alisema si rahisi.Kila mtu anamuhitaji Cavan lakini yupo hapa,nina furaha juu ya hili.
Cavan alisfurahishwa kuwemo kuwa sehemu ya mipango ya klabu ya SG,akawashukuru waliofanikisha yeye kuwepo Psg,wakala wake,kocha Leonardo na kila mtu aliyefanikisha usajili huu.
Alisema Cavan kuwa najiamini pia ana tamaa ya kufanya vizuri.Pia ana hamsa kubwa,yeye m wenyewe alisema ni aina ya mchezaji amabye anataka ushindi kila mara.Na Psg ni timu kubwa.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni