Jumanne, 16 Julai 2013

VITA BARIDI YA UBAGUZI WA RANGI MAREKANI....AUAWA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 16

0715_trayvon_martin_george_zimmerman_boxer_article

Gausha                      marehemu Travyvon Martin      na muuaji George

Vita baridi ndio ina iliyopewa tukio linaloendelea kwa sasa nchini marekani ambapo kijana mwenye asili kiafrika Travyvon Martin kuuwa na mmarekani mwenye mweupe Geoge Zimmerman.

Young Jeezy ameamua kuingia studio na kutumia muda wake kutunga nyimbo kwa ajili ya kijana Travyvon Martin huku akiibatiza jina la VITA BARIDI.

Pia Gausha Terrel bondia wa olimpik wa marekani ametangza rasmi kutoendelea kuvaa bukta ambayo inaonyesha bendera ya marekani.

Gausha ameguswa na tukio hilo kama mtu mweusi,amesema ajisikii kujivunia tena kuwa mmarekani kama matukio kama haya yanatokea.

George ambaye ni mwanausalama  alikiri kumuua Travyvon huku akidai alifanya hivyo ka kujihami ameachiwa huru kwa kutoshikwa na hatia ya kumtia hukumuni huku hatua hiyo ikipingwa na watu wengi sana.

Gausha ameonesha kuchukizwa na tukio hilo amablo anasema ni ubaguzi wa rangi.

0715_Gaushavs_Caplinger_Article
Gausha katangaza hatavaa bukta kama hili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni