Ijumaa, 5 Julai 2013

WACHEAZAJI WA BARCELONA WAENDELEA NA FILAMU YAO YA KUITIKISA MANCHESTER UNITED

BAADA YA NEYMAR SASA PIQUE
Mchezaji wa kimataifa wa Hispania ana Barcelona Gerlad Pique amezidi kuchochea moto Old Trafford kwa kumuambia Rooney atakuwa na wakati mzuri sana kama atajiunga na Miamba ya Catalunya Barcelona.

Pique ambaye amewahi kukipiga Manchester united alitoa ya moyoni na kusema Rooney taweza kuwa bora zaidi akiwa na Barcelona

Alisema Rooney ni mchezaji amabye anweza kucheza nafasi yoyote,anaweza kucheza mshambuliaji wa kati lakini hata pembeni kulia na kushoto tumeweza kumuona kaiweza kucheza.

ROONEY

PIQUE
Aliendelea kumwagia sifa Rooney kuwa ana nguvu sana na ana mbinu nzuri ambazo zitamfanya aweze kuendana na Barcelona kwa muda mfupi.
Huyu ni mchezaji wa Barcelona kuendelea na Filamu yao ya kuitikisa Man u kwa kumshawisi Rooney ahamie Man United.Baada ya Neymar Dos Santos kuweka wai furaha yake ya kutaka kucheza na Rooney.
Rooney bado anazidi kuiweka njia panda Man U hasa mabapo Ronaldo kakataa kujiunga na Man u Rooney hawezi kuachiwa kirahisi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni