Jumamosi, 13 Julai 2013

MADRID YAMSAJILI MCHEZAJI MPYA KWA EURO MILLION 32....

Klabu ya Real Madrid imendelea kujijenga kwa ajili ya msimu ujao kwa kumsajili Asier Illaramend kutoka Real Sociedad kwa kitita cha euro million 32.

Perez ambaye amtwaa wenyekiti wa klabu hiyo kwa mara nyingine...anaonekana kuweza kuwalidhisha mashabiki wa Madrid na hivi karibuni alifanikiwa kumbakiza mchezaji wa Real Madrid.

Asier ni mmoja wa wachezaji ambao Carlo Ancelotti aliwataka na hivyo Perez alisema kuwa lazima wafanya vile apendavyo.
RAIS WA REAL MADRID PEREZ

PEREZ AKIWA NA ILLARRA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni