Hitimisho la kombe la Mabara leo kule jijini Rio de Janeiro katika uwanja wa Maracana miamba ya soka itaumana kumsaka bingwa wa kombe hilo pia kutoa taswira ya soka yupi ni mbabe zaidi.
KIUFUPI VIVUTIO VYA MECHI HII.
1.Brazil ndio wenyeji wa kombe hilo na kombe la dunia-Brazil inakkazi kubwa ya kuridhsha mashabiki wa soka nchi kwao kwani walipew imani ndogo ili kuzuia maneno na kuudishwa nyuma lazima wachukue kombe hili nyumbani.
2.Brazili inataka kurejesha ufalme wa soka kuelekea 2014.Baada ya kupoteza dira chini ya Scolari Brazil wanataka kuwaonyeshawatu kuwa wao ni waflme wa soka kwa muda wote kwa kuwavua ubingwa kila mahala watakapokutana natimu kama Hispania.Pia kuwapa imanai mashabiki kueleka 2014.
Hispania kutaka kutawala soka.Hispania inataaka kuitwa wafalme wa soka kipindi hiki kuliko chote kuelekea fainali hii ambapo walionekana kupwaya na wamerudi watataka kuziba midomo ya watu wote walikuwa wanadhani wameshuka
Kiburi cha vipaji kwa timu zote
Hispania inaonekana pia kuimarika zaidi na zaidi katika kuwa na ujeuri wa vipaji vingi vilivyotengenezwa kwani wamechukua kombe ladunia la vijana kwa ngazi zote za chini.
Brazil wao ni asilia japo hazina zao zimeanza kuonekana kuishika duna kwa kusambaa maeneo mbalimbali dunia hasa kwenye klabu kubwa,mfano Neymar,Moutinho,osacar
Pia Neymar na Toress wanaweza kufanya macho ya watu kuwaangalia sana.Torres amesema kuwa karudia makali yake ya awali na Neymar kaonesha kuwa nastahili kupewa sifa za akina Ronaldo na Messi



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni