
CARLO ANCELOT
OZIL AMBAYE ALIKUWA NI MTENGENEZAJI MKUU WA MABAO.AMEKUA AKIFANYA KAZI HIYO KWA MUDA MREFU TANGU AKIWA NA WENDER BREMEN 2010.
NA NI MMOJA YA WACHEZAJI WALITOA ASSIT NYING KATIKA MIAKA MITANO YA NYUMA.
AMESEMEA TIMU HIYO KWA SASA BADO IKO NJEMA KAMA UNAKUMBUKA KATIKA MECHI MBILI YAA BACK TO BACK WAMEFUNGA MABAO 10 DHIDI YA GETAFE4-1 DHIDI YA GATASARAY6-1
MADRID INAZIDI KUIMARIKA BAADA YA KUREJEA KWAVARANE NA FABIO CONTRAO.
AMESEMEA KIKOSI CHAKE KINA USHINDANI KATIKA KILA NAMBA NA ATAKAYE CHEZA NI YULE AMBAYE ANAFIKIRI NI ANFAA KWA MCHEZO HUSIKA.
VARANE VS VAN PERSIE

COENTRAO
NA PIA NAAMINI MARCELO ATAREJEA JUMAMOSI.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni