Jumapili, 8 Septemba 2013

NIGERIA YAITUNGUA MALAWI MOSES AWAKA

PAMOJA NA KUTOKUWA NA NAFASI CHINI YA MOURINHO NA KUHAMIA LIVERPOOL KWA MKOPO VICTOR MOSES AMESAIDIA TIMU YAKE NIGERIA KUSHINDA NA KUFUZU  BAADA YA KUITANDIKA MALAWI BAO 2-0.

NIGERIA JAPOKUWA WALISHINDWA KUTENEGENEZA NAFSI NYINGI ILIPATA BAO LA KWANZA KUPITIA EMMANUEL EMMENIKEDAKIKA 45 NA MOSES KWA PENATI DAKIKA 51.

MECHI HIYO ILICHEZWA KATIKA UWANJA WA U.J ESUENE STADIUM CALBAR HUKU REFA H.NAMPIANDRAZA


Nigeria v. Malawi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni