Jumatatu, 9 Septemba 2013

INIESTA KUSAIN MKATABA MPYA NA BARCA

MCHEZAJI HATARI WA KLABU YA BARCELONA NA HISPANIA ANDREA INIESTA ANATARAJIWA KUASAINI MKATABA MPYA NA KLABU YAKE.

PAMOJA NA KUTUMIKIA MAISHA YA SOKA KWA ASILIMIA KUBWA KATIKA KLABU HIYO INIESTA BADO ANA HAMU YA KUENDELEA KUBEBA MAKOMBE AKIWA NA JEZI YA MIAMBA YA  CATALUNYA.


RAIS WA KLABU HIYO SANDRO AMEONGELEA UWEZAKANO WA  KUSAINI MKATABA NA INIESTA NA HIVI KARIBUNI WANAWEZA WAKATANGAZA.

INIESTA MKATABA WAKE UNAISHA 2015 NDANI YA BARCELONA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni