AMEWEKA WAZI KUWA ALIKUWA ANA WAKATI WA MZURI SANA NDANI YA MADRID LAKIN PIA WAKTI USIO NA FURAHA.
AMESEMA ALIKUWA ANATESEKA KWA SABABAU MARA NYINGINEA ALIKUWA HACHEZI KARIM BENZEMA ALIKUWA ANAANZA NA BAADAYE ALIKUWA ANAPATA NAFASI YA KUONYESHA UBORA WAKE.
HIGUAN AMEFUNGA BAO MOJA KATIKA MICHEZO MIWILI AKIWA NA TIMU YAKE MPYA NAPOLI VCHINI YA RAFAEL BENZITEZ.
MCHEZAJI HUYU WA ARGENTINA TAYARI AMETUPIA MAGOLI 25 KATIKA MECHI 100 KATIKA LA LIGA ALIPOKUWA NA MADRID NA BAADAYE AKAUZWA EURO M 40..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni