Jumatano, 11 Septemba 2013

RAIKKONNEN KAREJEA HUYO NYUMBANI

KWENYE LANGA LANGA MWENDESHA MAGARI KIM RAIKKONEN AMESEMA AMEFURAHISHWA SANA KUREJEA MARANELLO AMBAPO ALIWEZA KUISHI MIAKA MITATU YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA KE YA MCHEZO WAKE.

RAIKKONNEN SASA ATAKAA SAMBAMBA PAMOJA NA MWENDESHA MAGARI HATARI DUNIANI FERNANDO ALONSO KATIKA TIMU ILIYOPA UBINGWA WA WORLD CHAMPION MWAKA 2007.

FERRARI ILITANGAZA KUWA RAIKKOKEN AMESAINI MKATABA MPYA WA MIAKA 2 NA KUREJESHA UHISANO WAKE NA TIMU HIYO.

KUREJEA KWAKE   KUTAMWEZESHA AWEZE KUFANYA KAZI NA BINGWA MWINGINE WA WORLD  CHAMPION   FERNANDO  ALONSO KWA MARA YA KWANZA 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni