HIZI NDIZO RECORD LEBEL KALI BARAN AFRIKA

STORM RECORDS
STUDIO ILIYOANZISHWA MWKA 1991 IMEKUWA IKITOA MCHANGO MKUBWA KATIKA MUZIKI WA AFRIKA NA IMEWEZA KUTOA WASANII WAKALI WALIO KWENYE LEBEL YAKE NAETO C MR TEN OVER TEN,TOUNG SIX,SASHA P NA MUNA..MMILIK WAKE NI OBI ASKA MFANYABIASHARA MKUBWA NIGERIA.
NAETO C NIGERIA
CHOCOLATE CITY
NI MMOJA YA STUDIO KALI NA ZENYE MAFANIKIO BARANI AFRICA IMEMTOA MWANADADA HATARI ASA. NA NYIMBO YAKE JAILER AMBAO ULIENEA AFRIKA KAMA MOTO WA PORINI..RAPPER ICE PRINCE NA KIBAO CHAKE MATATA OLEKU.
MUIMBAJI MWENYE KIPAJI CHA PEKEE BRYMO.
MR LIMPOPO ICE PRINCE
EME EMPIRE MATES ENTRMENTMENT
BASED IN NIGERIA REKODI LEBEL INAYOTIKISA DUNIA SANA KWA KUWATOA WIZ KID MSANII ALIYEIMBA HIT SONG HOLLA AT YOUR BOY NA BADDEST BOY.BANK W STRONG TING
CEO WA HI LEBEL NI MSANII TAJIRI AFRIKA BANK W.
WAMETOA NYIMBO ZILIZOTWA A TUNZO KAMA BET,MTV.
MR WIZ KID
TAURUS MUSIK
HII NI REKODI LEBEL YA KUANGALIWA SNA KWANI BAADA YA MIKA KADHAA ITAKUWA HATARI SANA,,,,,,IKIWA MASKANI YAKE KENYA IMETOA KUNDI KALI KWA SASA AFRICA CAMP MULLER .HII LEBEL PIA INACHEZA NA WASANII WAKUBWA AFRICA P SQURE,D BANJ ,MR FLAVOUR.
NA MALENGO YAO NI KUONA WASANII WA EAST AFRICA WAFANYE KAZI NA WASANII WA WEST AFRICA.
ISII KWA KENYA, 9CON NIGERIA,ZONEFAM NA QF WA ZAMBIA.
ZONE FAM ZAMBIA
MARVIN REKODI
DONY JAZZY NDIO MMILIK WA STUDIO HII AMBAYO INAUFANYA MUZIKI WA AFRIKA KUTESA ULAYA AMERICA NA MABARA MENGINE DUNIANI.
TIWA SAVAGE,WABDE COOL,DIR SID NA D PRINCE.
.MAFANIKIO HAYA YOTE ANAYAPATA BAADA YA KUTENGANA NA D BANJ KABALA YA KUPATANA TENA.ILIMPEKEA PIA KUMILIK STUDIO YAKE
TIWA SAVAGE
WILL OF STEEL PRODUCTION
STUDIO KALI YA SOUTH AFRICA MANDFOZA
MANDOZA ,KEBELO OF KTZEE NA SWAKWATA KAMP.
HII INAMILIKIWA NA DJ CLEO MKALI WA FACEBOOK HAWA WANAENDELEE AFRO HOUSE MUSIC KWAITO
MANDOZA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni