Jumatatu, 30 Septemba 2013

MCHEKI TOREES AKITENGENEZEA KESI PIA PATA HABARI KALI ZA ULAYA

NEWCASTLE UNITED WANAHITAJIKA KUTOA PAUNI 7 KUMSAIN KIPA WA PSV ZOET MWENYE MIAKA 22 KATIKA DIRISHA LA JANUARY JANUARY.




KOCHA DAVID MOYES AMEIGNOOR TAARIFA ZILIZOENEA KUWA SIR ALEX FERGIE ANATARAJIWA KUREEJA KATIKA CHUMBA CHA KUBADILISHIA NGUO.


KOCHA WA ZAMANI WA ENGLAND STEVE MACLAREN NA EX STOKE BOSS TONY PULIS WANATARAJIWA MMOJA WAPO KUMRITHI DI CANIO KATIKA KLABU YA SUNDERLAND.



FERNADO TOREES ANAWEZA AKAKUMBWA NA KIFUNGO CHA MECHI 4 BAADA YA AKUMFINYA USONI JAN VERTONGHEN.











KOCHA WA CELTLIC NEIL LENNON AMEWTAKA WACHEZAJI WAKE KUJIFUNZA KUPITIA DVD ZA MSIMU ULIOPITA  AMBaPO WALIWAFUNGA BARCELONA ILI KUPATA HAMaSA KUELEKEa MECHI IJAYO JUMANNE.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni