TIMU AMBAYO NI PEKEE ILISHAKATA TIKETI YA KUSHIRIKI KOMBE LA
DUNIA 2014 BAADA TU KUTANGAZWA WAPI KUTAFANYIKA KOMBE LADUNIA BRAZIL JANA
IMEENDELEA KUNGARA BAADA YA KUBAMIZA AUSTRIA KWA MAGOLI 6-0.
BRAZIL AMBAYO ILIONEKANA KUWA ITASAHINDA MABAO MENGI KWA
KUTAWALA MCHEZO ILIANAZA KWA KUFUNGA MAGOLI 3 KIPINDI CHA KWANZA NA MENGINE 3 KIPINDI CHA PILI.
MSHAMBULIAJI JO ALIANZA KUZIFUMA NYAVU DAKIKA 8 AKIFUNGA
KIURAHISI KABISA KABLA YA KUONGEZA BAO JINGNE DK 34 AMBALO KAMA ANGEUACHA MPIRA
UPITE UNGEMKUTA NEYMAR.
MCHEZAJI KIPENZI CHA WABRAZIL NEYMAR AMBAYE ALIKUWA NA UCHU
WA KUFUNGA ALIPATA GOLI LAKE BAADA YA KUPIGIWA PASI NDEFU NA KUKIMBIA MPIRA
KABALA YA KUUCHINJA NA KUTINGA WAVUNI BAADA YA KUFUNGA ALISHANGILIA SANA NA
KUWEKA MKONO MDOMONI ISHARA YA KUWAFUNGA MIDOMO WANAOMSEMA .

NEYMAR AKIMCHINJA MARK SHWARZER
INGAWA JANA BRAZIL HAWAKUCHEZA KWA KIWANGO KIKUBWA LAKINI
KIWANGO KILICHOONYESHWA NA BERNAD KATIKA SEHEMU YA KIUNGO ILITOSHA KUMFANYA AWE
MCHEZAJI BORA WA MECHI.
BRAZIL IKAENDELEA KUONA NYAVU DK 58 KUTIA RAMIRES ALEXANDRE
PATO ALIYEINGIA KIPINDI CHA PILI DK 73 NA LUIZ GUSTAVO DK 84.
MECHI HII LIFANYIKA UWANJA WA ESTADIO NACIONAL DE
BRASILIA..HUKU E CACERES AKIPULIZA KIPYENGA
HUKU KIPA MARK SHAWRZE KIPA MPYA WA CHELSEA AKIONESHA KIWANGO KIDOGO LANGONI.

MATOKEO MENGINE YA MECHI ZA KIRAFIKI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni