Jumapili, 29 Septemba 2013

MESSI KUKAA NJE MPAKA SIKU 5 BAADA YA KUMKUMBUKA BABA WA TAIFA NYERERE


KLABU YA BARCELONA IMETHIBITISHA KUWA LIONE MESSI ATAKUWA NJE KWA WIKI MBILI AU TATU BAADA YA KUPATA JERAHA LA MGUU.


MCHEZAJI HUYU HATARI MFUMANIA NYAVU WA BARCELONA ALIFUNGULIA TIMU YAKE KALAMU YA MABAO MAWILI KWA KUPIGA BAO KATIKA LA LIGA DHIDI YA ALMERIA ALMERIA MECHI AMBAYO BARCELONA WALIIBUKA NA USHINDI WA BAO 2 KWA 0.


KUUMIA KWA MESSI KUTAMFANYA AKOSE MECHI DHIDI YA GLASOW,CELTLIC NA KATIKA LA LIGA WATAPOWAKARIBISHA VALLADOLID NOU CAMP.


MESSI PIA LIKUMBWA NA MAUMIVU KAMA HAYAO MWISHON MWA MSIMU ULIOPIA NA ANATARAJIWA KUREJEA OKTOBA 19

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni