Jumanne, 24 Septemba 2013

BARBAR KANAM MSANII HATARI WA ZOUK BARANI AFRIKA




BARBARA KANAM MSANII MWENYE MVUTO WA KIPEKEE SI SAUTI HATA MWONEKANO ITS NO BAD TOSAY THAT...AAHHHH.


AMEZALIWA MWKA 1973 BUKAVU HUKU DRC CONGO.

HARAKATI ZA MUZIKI ALIAANZIA KATIKA ORCHESTO BAND AMBAYO ILIKUWA INAITWA DEVOTION 1991 HUKO ALIJIFUNZA KUIMBA NA KUANDIKA.

LAKINI HAIKUTOSHA ILI AWEZE KUWA KAMILI ILI ATENDEE HAKI KUITWA MWANAMUZIKI ALIPATA UJUZI KATIKA MAMBO YA VOCAL TECHNIQUE KATIKA PRESTOIGIOUS PSALMODY ACADEMY NCHINI AFRICA KUSINI  KATIKA JIJI LA JOHENSBURG

LAKINI ALIPATA NAFASI KUBWA SANA YA KUANZA KUJITAMBUA HASA KATIKA UPANGILIAJI WA UIMBAJI WAKE KATIKA TOUR YA CENTRAL AFRICA 1995.
 LAKINI BAADAYE AKASHANGAZA KIDOGO NA KUAMUA KWENDA KUISHI ABDJAN IVORY COAST NA KUJIUNGA NA KWAYA NA KUONGEZA  UWEZO WA KUIMBA.

AKAANZA KUWEKA GUMZO KWA WANADAMU WA SAYARI YA TAU BAADA YA ALBUM YAKE YA MOKILI 97 CHINI YA MUANDAAJI MAHIRI KABISA KONE DODO.....BAADA YA ALBUM IKAMPELEKEA KUINGIA KATIKA KUWANIA TUNZO ZA TUNZO KUBWA DUNIANI KAMA MWIMBAJI BORA.

ALBUM YAKE YA PILI TET NDIO ILIZIDI KUMWAMISHA KATIKA DUNIA YA KWANZA NA KUWA MTU MKUBWA KATIKA MUZIKI DUNIANI HAPO AKAFANIUKIWA KUTEMBEA DUNIANI KOTE .

LAKINI 2005 AKAWEZA KUFANYA KAZI NA WATU MASHUHURI KABISA KIKI  TOURE BA EDGAR YONKEU KATIKA BIBI MADELEINE LAGERNT WAKISHIRIKIANA NA AWILO LONGOMBA.

AKAPATA MAFANIKIO MAKUBWA NA KUIZUNGUKA CARIBEAN AFRIKA ULAYA NA AKAINGIA KATIKA TUNZO ZA BALCK MUSIC AWARD IN COTONUOU BENINI AKAPOKEA MWIMBAJI BORA WA KIKE.
Tuzo za Kora | Best Actress katika Johannesburg [ 2 ]
2004 kunde D'Au tuzo | Best msanii wa kike wa Afrika ya Kati katika Ouagadougou
2004 Tamani D'Au tuzo | Best mwigizaji wa Afrika ya Kati katika Bamako

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni