Jumapili, 15 Septemba 2013

LUKE SHAW..MIKONONI MWA UNITED KUMPIGA KIKUMBO FABIO NA BUTNER ILI KUWA EVRA MPYA

BAADA YA KUMKOSA LEIGHTON BAINES NA CONTRAO MANCHESTER UNITED  SASA MACHO YAO YOTE YAMEANGUKIA KWA BEKI WA KUSHOTO WA SOUTHMPTON LUKE SHAW.


MCHEZAJI HUYO ANAONEKANA NI MBADALA WA PATRIC EVRA KAMA ATAWEZA KUTHIBITISHA HILO MBELE YA UPINZANI MKALI WA FABIO DA SILVA PAMOJA NA ALEX BUTNER AMBAO WANAONEKNA KUTOTHIBITISHA KUWA WANAWEZA KUMCHUKULIA NAMBA EVRA.


GHARAMA YA KINDA  HUYO MWENYE MIAKA 18 NI PAUNI M 12 NA ANAMKATABA WA MIAKA 5 NDANI YA KLABU YAKE.



UMRI WAKE MDOGO NDIO UANTAOA MWANYA KUWA NI MRITHI SAHIHI WA EVRA MWENYE MIAKA 32.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni