Jumatatu, 9 Septemba 2013

KAKA ANAHITAJI MUDA =GATTUSO

MCHEZAJI AMBAYE DUNIA ILIMTAMBUA KUTOKANA NA UKABAJI WAKE GENNARO GATTUSO WA AC MILAN AMESEMA  RICARDO KAKA ANAHITAJI MUDA ILI AWEZE KUWAKA  TENA.


GATTUSO AMEWATAKA MASHABIKI WA ROSSENERI KUTAMBUA  KAKA HAJACHEZA KWA UWIANO MKUBWA  TAKRIBAN MIAKA 3 MIBAYA KATIKA MASIHA YA SOKA AKIWA REAL MADRID.

KAKA AMBAYE AMEAMUA KUREJEA NYUMBANI NA KUSAINI MKATABA WA MIKA MIWILI  ALIKUWA AKICHEZA SAMBAMBA NA KAKA KATIKA SEHEMU YA KIUNGO TOKA MWAKA 2003 MPAKA 2013


UVUMILIVU WA MASHABILI ILI KUIMREJESHA NYOTA HUYO AMBAYE GATUSO KWAKE NI MZURI HASA KATIKA CHUMBA CHA KLUBADILISHIA NGUO.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni