KUKOSEKANA KWA CRISTIANO RONALDO KATIKA M ECHI YA KIRAFIKI
DHIDI YA BRAZIL JUMAMNNE KUMEKOSESHA LADHA KWA ASILIMIA KUBWA KWANI WATU WENGI
WALISUBIRI KUONA AKIKUTANA NA NYOTA WA BARCELONA NEYMAR.
MMOJA YA MABEKI TANO GHALI DUNIANI BEKI WA PSG THIAGO SILVA
NAYE KWA UPANDE KUKOSEKANA KWA RONALDO KWAKE KUMEMHUZUNISHA KWANI ALIPENDA
KUMUONA AKICHEZEA TIMU YAKE BAADA YA KUPIGA HATRICK NA KUVUNJA REKODI YA
MKONGWE EUSIBIO.

RONALDO AKISHANGILIA
LAKINI ALISEMA BADO URENO NI TIMUIMARA NA WAKO TAYARI
KUWAVAA JUMAMNNE BAADA YA KUIFUNGA AUSTARIA BAO 6.
KWA UPANDE WA BEKI AMBAYE NI KIPENZI CHA MASHABIKI WA
CHELSEA DAVID LUZI YEYE AMEAMUA KUIPA NAFASI BRAZIL.
AMESEMA SIKU ZOTE KAMA MCHEZAJI BORA WA TIMU FULANI HAYUKO
SAWA KUCHEZA BASI HIYO NI FAIDA KWA TIMU PINZANI.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni