KAULI YA TOTTI BAADA YA MAAFIKIANO YA MZUNGMZO NA KLABU HIYO AMESEMA ANA MIKA MIWILI MINGINE YA KUWAJIBIKA NA ANA AMINI WATAWEZA KUFIKIA MAMBO MAKUBWA KWA PAMOJA.
PIA ALITOA SHUKRANI ZAKE KWA RAIS W A KLABU KWA KUFANIKIASHA MKATABA HUO.
MKONGWE HUYO AMBAYE ALISTAAFU TIMU YA TAIFA 2006 ALIFUINGIA ROMA MABAO 12 KATIKA MICHEZO 36 KATIKA LIGI YA SERIA A..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni