Jumapili, 22 Septemba 2013

RIPOTI NA TAKWIMU KUELEKEA MECHI ARSENAL VS STOKE CITY

KUELEKEA MECHI YA LEO DHIDI YA STOKE KIUNGO WA ARSENAL AMBAYE KUWEPO KWAKE NJE KWA MUDA  KUMEFANYA ASUBIRIWE KWA HAMU MIKEL ARTETA ANTARAJIWA KURUDI DIMBANI LEO.

KOCHA WA ARSENAS ARSENE WENGER AMESEMA ARTETA NI MMOJA YA VIONGOZI WAO NDANI YA KLABU HIVYO WANAFURAHA JUU KURUDI KWAKE DIMBANI.

ARSENAL BADO INA WIMBI KUBWA LA MAJERUHI SANTI CARZOLA,YAYA SANOGO,ABOU DIABY,TOMAS ROSICKY,ALEX CHAMBERLAIN NA LUCAS POLDOSKI BADO WATAENDELEA KUKOSA KUWASHA MOTO NDANI YA KLABU KUTOKANA NA MAJERUHI WALIYONAYO.

KWA UPANDE WA STOKE CITY BOSS WAKE MARK HUGHES ATAWAKOSA MARK MUNIESA,GLEN WHELAN NA JAMIE NWSS KUTOPKANA NA MAJERUHI.
TAKWIMU ZA TIMU HIZI MBILI

WALIPOKUTANA STOKE NA ARSENAL

*KATIKA MECHI TANO ZILIZOPITA STOKE AMEPOTEZA MECI ZOTE MBELE YA ARSENAL

*MARA YA MWISHO STOKE KUIFUNGA ARSENAL NI AGUST 1981 WALISHINDA GOLI 1-0 NA TENA WAKATI ARSENAL IKITUMIA UWANJA WA HIGHBURY.

*STOKE WAMEENDA MARA 11 KASKAZINI MWA LONDONI KUSAKA USHINDI LAKINI WAMETOKA PATUPU.

REKODI ZA KUVUTIA KWA ARSENAL KUELEKEA MCHEZO WA LEO

*OLIVER GIROUD SILAHA NAMBA MOJA YA ARSENAL  NI AMEINGIA KWENYE HISTORIA YA WASHAMBULIAJI TISA YA EPL KUFUNGA KILA MECHI KATIKA MECHI NNE ZA MWANZONI.
*ARSENAL WANA KADI 10 ZA NJANO NA MOJA NYEKUNDU

 REKODI YA KUVUTIA KUTOKA STOKE CITY

*STOKE CITY SAFRI HII INA REKODI YA KUSHINDA MECHI MBILI KATIKA YA NNE WALIZOCHEZA WAKATI  MSIMU ULIOPITA ILIWAPASA WACHEZE MECHI 11 KUSHOINDA MECHI MBILI
*STOKE CITY WANAKADI 6 ZA NJANO



MECHI ZA MWISHO KUCHEZA
Marseille 1 - 2 Arsenal 18 Sep 2013 CHAMPIONS LEAGUE
Stoke 0 - 0 Man City 14 Sep 2013 PREMIER LEAGUE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni