Klabu ya Manchester jumanne ilkataa ofa hii ya kumchukua Rooney huku ikisema hauzwi...labda yeye mwenyewe atimize vigezo vya kuvunja uhusiano wote kiujumla wa mikataba na klabu hiyo.
Rooney amekuwa kwenye vichwa vya habari kutokana na taarifa yake kumuomba kocha wake wa zamani Sir Ferguson kuihamaklabu ya Manchester united huku akizidi kuwa na hofu kutoka kwa mashabiki kama atachezea klabu hiyo msimu ujao.
Wyne Rooney kabakiza miaka miwili katika mkataba wake na Manchester United.
