Katika orodha iliyotolewa a jarida la FORBDES la marekani amabalo limetowa orodha ya washehereshaji 100 wenye nguvu ya ushawishi duniani ambapo mwanamama Oprah Winfrey akiongoza orodha hiyo cha kusikitisha wachezaji watatu 3 tu ndio wamo katika orodha hiyo ya 100 bora.
Orodha hii imejaa waigizaji ,wasanii wa muziki na waandaji wa filamu pamoja na watangazaji.
WACHEZAJI WA SOKA AMBAO WAPO KATIKA ORODHA YA 100 BORA NI WATATU 3 TU
1.
David Beckham wa kwanza kwa wanasoka ila ni kumi na tisa(
19) katika orodha ya jumla.
Nguvu yake ya ushawishi si ya kuuliza sana kwani amekuwa akiongoza kwa kulipwa hela nying mara nyingi,kuingiza pesa nyingi,kufanya matangazo mengi hasa penzi lake na Posh limezidi kumfanaya awe juu.
Ushuhuda mkubwa alivyoenda China karibuni tumeona jinsi alivyokuwa na ushawisi kwa watu.
2.
Cristiano Ronaldo wa pili kwa wanasoka ila ni thelathini na mbili (
31) katika orodha ya jumla.

Toka umasikini mpaka kuwa tajiri ni kazi kubwa sana.Si tu mwonekano wake mzuri ,mwili wa mazoezi.,kipaji cha hali ya juu muda wote,ila pia ni mtu amabaye anajitolea kwa ajili ya watu maskini sana na anaumia kuokana anajua hali halisi ya huko.
Ronaldo anavutia sana makampuni kumpa matangazo kwa sababu anavyoonekana katika jamii pia kutoka na mastaa wakubwa kama Kim Kardishian,Paris Hilton,Rihanna na wengineo kunampa mvuto wa kibiashara sana.
3.
Lieon Messi wa tatu kwa wanasoka ila ni wa thelathini na tisa (
39) katika orodha kiujumla.Ni mchezaji amabye ametikisa duniani na kusaidia kuitangaz sana liigi ya Hispania kutokana na ushindani wake na Ronaldo.Pia umahiri mkubwa wa kufamaniwa nyavu .
Messi anashugulika na jamii kama hivi karibuni kaingia katika mpango wa kusmabaza vyandarua laki 4 Afrika.
Hao ndio wanasoka waliopo katika mia moja bora ni kitu kisichofurahisha kuona wachache na wameanzia mbali.
BY MCHOPER