#UW
Nakuletea taarifa 5 kubwa kutoka katika soka la ulaya
Mlizni wa Madrid Varane
Kuna taarifa kutoka ndani ya klabu ya Real Madid ambazo
zinaweza kuwa si nzuri kwa wapenzi wake.
Mkongwe wa klabu hiyo ambaye hutumikia nafasi ya beki wa kati
Pepe na beki wa kimataifa wa Ufaransa Varane wataondoka katika klabu hiyo na
Manchester United na Chelsea imetaarifiwa kuwinda mabeki hao.
Beki wa Reak Madrid Pepe
Mchezaji mkongwe wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya
Ufaransa Nicolas Anelka amemtaka nyota kijana wa Juventus Paul Pogba kuhamia klabu ya
Chelsea au Rea Madrid.
Paul Pogba kiungo wa Juventus
#3
Klabu ya Swansea baada ya kumpoteza nyota wake kutoka Ivory
Coast Wilfried Bony waliomuuza Manchester city.Sasa wanamuwinda mshambuliaji wa
Andrletch Aleksandar Mitrovalic mwenye miaka 20 aje kuziba pengo la Bony.
Mitrovalic mchezaji wa Andrletch
Kocha wa zamani wa Manchester United alishangaza baada ya
kutembelea katika hotel ambayo Chelsea walifikia kuelekea mchezo wa Uefa dhidi
ya PSG.Na alijumuika na kocha wa Chelsea Jose Mourinho kupata kikombe cha
kahawa.
Jose Mourinho na Alex Ferguson
Klabu ya Manchester united bado inatokea katiika tetesi za
usajili kwa kuhitaji saini ya kiungo wa Gundogan.Na watafanikiwa kumnyakua
endapo kiungo huo akikataa ofa mpya ya kubakia Westfalenstadion.
Gundogan anayehitajiwa na Manchester united
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni