Mario Balotelli alitumia mtandao wa twitter kuonyesha hisia zake baada ya kupata matunda ya mashuti yake 48 aliyopiga tangu alipojiunga na Liverpool kwa ada ya pauni milioni 16.Na kufanya matokeo yasomeke Liverpool 3-2 Tottenham Hotspurs.
Balloteli akimtungua kipa wa Spurs
Huu ndio ujumbe wa Mario Ballotelli baada ya kuifunga Tottenham Hotspurs.
‘Greaty game guys.. this smile is only for those that always believe and support me.Thank u.’
Bao kali la yadi 6 lilitumbukizwa na Mario Ballotel dakika ya 83 baada ya kuchukua nafasi ya Sturrdge dakika ya 74.Akipokea pasi kutoka kwa Lallana ambaye aliingia dakika ya 79 akichukua nafasi ya Markovic.
Balotelli akishangilia baada ya kufunga goli
Tangu DW stadium mbele ya mashabiki 19,623 katika mechi ambayo refarii Mark helseye alipuliza kipenga cha goli mara mbili.Dakika ya 69 bao la Ballotel dk 69 na milner ya 72.Klabu ya Manchester city ikiifunga Wigan nyumbani kwa bao 2-0.
Mario amerejesha uhai wa mabao ya ligi kuu ya Uingereza EPL katika dimba la Anfield mbele ya mashabiki 44,577 na refarii phil dowd alilazimika kupuliza kipenga dakika ya 83 na Balloteli kutengeneza historia nyingine


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni