1.UJIO WA NEYMAR BARCELONA
MCHEZAJI NEYMAR KUTOKA SAO PAOLO NI KITU AMABACHO KITAFANYA LA LIGA KUWA NA MVUTO WA AINA YAKE HASA ATAKAPOPEWA NAFASI YA KUCHEZA NA MESSI.UJIO WA NEYMAR PIA UATALETA CHANAGAMOTO YA KIBIASHARA KWA RONALDO WA MADRID KUTOKANA NA MCHEZAJI HUYO PIA ANA MVUTO WA KIBIASHARA.
PIA UWEZO WAKE WA UWANJANI BAADA YA KUIPA MAFANIKIO BRAZIL KATIKA KOMBE LA MABARA BRAZIL.
2.RONALDO KUTAKA KUBAKIA REAL MADRID.
PAMOJA NA KLABU YA MANCHESRER UNITED KUTENGA JEZI NAMBA 7 KWA AJILI YAKE BAADA YA WINGA WAKE VALENCIA KUAMAUA KUREJEA JEZI YAKE YA ZAMANI NAMBA 25.RONALDO AMETHIBITISHA KUWA NA FURAHA AKIWA KLABUNI HAPO NA ANAMINI HIVI KARIBUNI ATAFANIKIWA KUFIKIA MAKUBALIANO NA REAL MADRID.
HUKU UJIO WAKE KATAIKA MECHI ZA MAANDALIZI UKIWA NI WA KUTISHA NA PIA ALIWAFUNGA CHELSEA ILIYOCHINI YA KOCHA WAKE WA ZAMANI MOURINHO MABAO 2.
RONALDO ALITAMINIWA NA HATA KLABU YA PSG LAKINI AMEAMUA KUENDELEA KUPAMBANA NA MESSI PAMOJA NEYMAR.
3.KOCHA CARLO ANCELOT KUJIUNGA NA REAL MADRDI AKITOKEA KWA MAFANIKIO PSG
BAADA YA MOURINHO KUJIWEKEA REKODI MBAYA YA KUMALIZA MSIMU BILA KOMBE LOLOTE.MADRID IKAAMUA KUSITISHA MKATABA NA KOCHA AMBAYE AMEWEKA REKODI YA KUCHUKUA UBINGWA AKIWA NA TIMU NNE ZA NCHI TOFAUTI PORTO(URENO),CHELSEA(UINGEREZA),INER MILANI (ITALIA) NA MADRID REAL (HISPANIA).
4.ZIDANE NDANI YA BENCHI LA UFUNDI
MKONGWE ZIDANE KUKAA KWENYE BENCHI LA UFUNDI LA MADRID REAL AKIWA NA ANCELOTTI AKIWA KAMA KOCHA MSAIDIZI.PEREZ RAIS WA MADRID NDIYE KAMPA ZIDANE NAFASI HIYO YA KUITUMIAKIA KLABU YAKE YA ZAMANI.
5.GERRADO MARTINO TATA KUIBEBA BARCELONA
BAADA YA TITO VILANAOVA KUAMUA KUJIUZULU NAFASI HIYO KUTOKANA NA KUREJEWA TENA NA UGONJWA WAKE WA KANSA YA KOO.BARCELONA WALIUMIZA KICHWA KUWA KOCHA YUPI NI SAHIHI KUIFUNDISHA PMAOJA NA LUNDO KUBWA LA MAKOCHA GERRADO MARTINO AKACHAGULIWA KUIFUNDISHA MIAMBA HIYO YA CATALUNYA
BY HOSEA MCHOPER