Mshamuliaji wa kimataifa wa Brazili Paulinho amesajiliwa na Tottenham Spurs kwa kitita na paundi 17 kutoka klabu ya Corinthians ya razili
Ni furaha kubwa na msisimuko kujiunga klabu kubwa kama Tottenham.Na najua itakuwa chanagamoto kubwa lakini nitaweza kusaidiana na wenzangu kuleta furaha kwa masahabiki.aliseam Paulinho
Paulinho ambaye pia anafurahishwa sana na uchezaji wa Frank Lampard wa Chelsea anavyopiga mpira,anachukua nafasi uwanjani alisema anafuraha kwan anaamini takutana na mchezaji huyo uwanjani.
Huyu ni mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Villas Boas katika kipindi hiki cha usajili

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni