UWANJA WAKO
Jumatano, 3 Julai 2013
JUSTIN BIEBER ALIBADILISHA MWONEKANO GARI LAKE ILI KUFANIKISHA MTOKO WA SIKU MOJA
Msanii amabyea ana mashabiki wengi kwenye mitandao ya kijamii Justin Bieber ameendelea kufanya vituko kila kukicha .
Hivi karibuni aliamua kutumia pesa nyingi ili kubadilisha mwonekano wa gari lake kufanikisha mtoko wa siku moja.
Inasemekana siku hiyo alivaa nguo za Chui Chui kwa hiyo akaamua kubadilisha gari nalo liwe la Chui Chui
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni