Mtanzania ambaye anafahamika kwa jina la Fatuma amefunguka kuhusu kesi inayomkabili ya kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Misri huku katika radio moja Misri habari zikizagaa kuwa amehukumiwa kunyongwa. Alisema yeye ni baba yake ni Mtanzania na mama yake ni Mkenya ambaye pia anaishi Omani.Alisema yeye alikwenda Misri kumtafyta ndugu yake ambaye aliambiwa kafungwa jela ingawa alisema hajaua kuwa kosa lililomfanya kufungwa. Alisema ni kweli alikutwa na madawa ya kulevya kwenye begi lake amablo anadai alipewa na mtu amabye alimwambia akifika huko atakayemkabidhi begi hlo ndiye atakayemwelekeza alipo ndugu yake. Ubalozi wa Tanzania ulikiri kuwepo la tukio hilo lakini walikanusha kuhusu kuhukumiwa kunyongwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni