Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United na Real Madrid alikuwa akutane na wanafunzi wa chuo hicho ambao ni wanasoka ikiwa ni moja ya kazi zake atakazofanya China katika dili lake la kuipromoti ligi kuu ya nchi hiyo.
Beckhama ambaye alitegemewa kuhutubia lakini hakufanikiwa kutokana na vurugu kutokea aliwaomba radhi mashabiki kupitia page ya Facebook na aliongeza kuwa anatumaini wapo salama..




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni