Jumanne, 18 Juni 2013

DIAMOND BADILIKA KIDOGO BASI

Tabia ya msanii Diamond ya kubaki kifua wazi nadhani kama imevuka mpaka.simaanishi kama ni vibaya sana ila kwa shoo kama hizi za kisiasa ambazo zinakusanya watu tofauti wazima,watoto haina umuhimu kufanya hivyo.
Na watu wazima ndio wanazidi kutoridhishwa na tabia hizi.

Najua ni msanii anayejifunza toka kwa wasanii wa marekani  waliofanikiwa kimziki kama kujenga miili yao ikae kibiashara na mvuto.Ila sidhani wanafanya kama afanyavyo Diamond.
Hapa haupigwi mawe ila ni maoni tu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni